MTU MMOJA ASIYE JULIKANA KWA JINA WALA MAKAZI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUZAMA KWENYE BWAWA LA MAJI - KONA YANGU

ELIMU MICHEZO NA BURUDANI

https://msashavideos.blogspot.com/

Post Top Ad

Responsive Ads Here
MTU MMOJA ASIYE JULIKANA KWA JINA WALA MAKAZI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUZAMA KWENYE BWAWA LA MAJI

MTU MMOJA ASIYE JULIKANA KWA JINA WALA MAKAZI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUZAMA KWENYE BWAWA LA MAJI

Share This



MTU MMOJA ASIYE JULIKANA KWA JINA WALA MAKAZI AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUZAMA KWENYE BWAWA LA MAJI LINALO JULIKANA KWA JINA LA BWAWA LA MCHINA TAKRIBANI MASAA 28 LILILOPO MTAA WA KARIFONIA KATA YA LUDETE MKOANI GEITA.


BAADHI YA MASHUHUDA WALIO SHUHUDIA TUKIO HILO WAMESEMA KUWA MTU HUYO ALIFIKA KATIKA BWAWA HILO AKAVUA NGUO ZOTE AKABAKI UCHI WA MNYAMA KISHA AKAINGIA NDANI YA BWAWA HILO NA KUANZA KUOGA LAKINI BAADA YA MUDA MCHACHE MTU HUYU AKAANZA KUWA ANAZAMA KISHA ANAIBUKA HATIMAYE ALIZAMA MOJA KWA MOJA NA KUPOTEA WALIPOONA HALI ILE NDIPO WALIPO SAMBAA KUTOKA ENEO LILE KISHA WAKATOA TAARIFA KWA UONGOZI WA SERIKALI ZA MTAA


KWA UPANDE WAKE MWENYEKITI WA MTAA HUO BW,ELIAS JONH AMESEMA KUWA TAARIFA AMEIPATA KUTOKA KWA BALOZI WAKE WA NYUMBA KUMI KISHA WAKAFIKA ENEO LA TUKIO NA KUFANISHA KUMTOA MTU HUYO KATIKA BWA HILO AKIWA TAYARI AMESHA POTEZA MAISHA KISHA JESHI LA POLISI PAMOJA NA DAKITARI WALIFIKA NA WAKAFANYA UCHUNGUZI PAMOJA NA HIVYO MTU HUYO HAKUTAMBULIKA MAKAZI YAKE WALA JINA NDIPO MAAFISA WA USALAMA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MTAA HUO WALIAMUA MTU HUYO AZIKWE KANDO YA BWAWA HILO


HADI TAA YA JAMII INAONDOKA ENEO LA TUKIO MWILI WA MAREHEMU ULIKUWA TAYALI UMESITILIWA KANDO YA BWAWA HILO LA MCHINA MAPEMA HAPO JANA.

                                                                                                                                                                                                     WRITTEN BY MRISHO SADICK



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages