Kada wa Chadema na
mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ametangaza leo rasmi
kuhamia chama cha UDP.
Ole Medeye amezungumza
hayo mbele ya mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za Makao
Makuu ya chama hicho,Mwananyamala jijini Dar.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni