Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango - KONA YANGU

ELIMU MICHEZO NA BURUDANI

https://msashavideos.blogspot.com/

Post Top Ad

Responsive Ads Here
Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango

Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango

Share This
Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.

Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages